3:43 AM
Posted by
Unknown
3:43 AM
Posted by
Unknown
3:37 AM
Posted by
Unknown
1:53 AM
Posted by
Unknown
1:30 AM
Posted by
Unknown
1:27 AM
Posted by
Unknown
1:15 AM
Posted by
Unknown
Muimbaji wa R&B na muigizaji wa filamu nchini Hemedy Suleiman aka
PHD (Pretty Huge Dude) amewatahadharisha mashabiki wake kuwa kuna
akaunti fake ya Facebook ya jina lake ambayo imekuwa ikiandika mambo ya
kipuuzi.
Hivi karibuni mtu huyo anayetumia jina la Hemedy aliandika:
“Mkubwa wa freemason ananishawishi nijiunge katka chama hicho ila
nimemuombea dua Mungu amlani ishallah“na hakika mwenye kujiunga na chama
hicho mwisho wake ni kufa napia huenda motoni.”
Post hiyo imeifanya mitandao kadhaa nchini kuamini maneno hayo
yameandikwa na Hemedy ambapo baada ya Bongo5 kumuuliza Hemedy juu ya
hicho alichokiandika, alisema, ” Sio mimi, kuna account fake ya hemedy
anaandika ujingaa….f*ck dat nigga, I dont believe in freemason
shit..ALLAH ANANILINDA.”
Miongoni mwa website iliyoandika habari kufuatia post hiyo ni Kenya
Daily Post ya nchini Kenya ambayo leo imeandika habari yenye kichwa cha
habari, “Former TPF contestant HEMEDI ….FREEMASON wants him to sell his
SOUL to the DEVIL”.
“He came to Kenya with the aim of clinching the top prize at Tusker
Project Fame academy and although he did not win the prize money, he
left all his fans thrilled by his drama more than his music; Tanzania’s
Hemedi Suleiman is however not living in peace.
Since his departure from the academy, the star has been gracing the
music industry and the film industry in the whole of East Africa. He is
now what people would call one of TPF’s success stories. With his fame
however secret societies have been trailing him begging him to join
them.
Hemedi has declined the many offers from Freemason and said he would rather pray for them.”
Kwa muda mrefu tumekuwa tukiamini kuwa akaunti hiyo ni ya Hemedy
kwakuwa hivi karibuni mtu huyo aliwasiliana nasi kututumia wimbo wa
msanii anayesema ni binamu yake na Hemedy:
“Daaah huyo wala simjui mwanangu…sina cousin anaimba kwetu kipaji
pekee yangu ukoo mzima..hao wananichafua tu broda…SIWAJUI,” amejibu
Hemedy kupitia Twitter
Read more